Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 290

Category: Michezo na Burudani

Mazishi ya Baba yake na Msanii 20 Percent Yafanyika Mkuranga

Posted on: October 9, 2013 - jomushi
Mazishi ya Baba yake na Msanii 20 Percent Yafanyika Mkuranga

Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya…

Continue Reading....

Bondia Nyilawila Amtamani Thomas Mashali

Posted on: October 7, 2013October 7, 2013 - jomushi
Post Tags: bondia, bondia tanzania, Nyilawila Amtamani Thomas
Bondia Nyilawila Amtamani Thomas Mashali

  ALIYEKUWA bingwa wa dunia wbfed middle weight bondia Karama Nyilawila amesema ana hamu kubwa ya kumdunda mtoto wa Manzese Thomas mashali (ambae ni bingwa wa…

Continue Reading....

Tenga Asisitiza Uchaguzi TFF ni Oktoba 27

Posted on: October 7, 2013 - jomushi
Tenga Asisitiza Uchaguzi TFF ni Oktoba 27

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewahakikishia Watanzania kuwa uchaguzi wa kupata Kamati mpya ya Utendaji ya shirikisho utafanyika Oktoba…

Continue Reading....

Ruvu Shooting, Simba Waingiza 75,692,000

Posted on: October 6, 2013 - jomushi
Ruvu Shooting, Simba Waingiza 75,692,000

PAMBANO la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Ruvu Shooting na Simba lililochezwa Oktoba 5 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es…

Continue Reading....

Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!

Posted on: October 6, 2013 - Rungwe Jr.
Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi Ommy Dimpoz akiwa na kikosi chake. Yule mwanamuziki machachari wa kizazi kipya kutoka Tanzania atakuwepo Los Angeles Leo kutumbuiza Wabongo…

Continue Reading....

Michezo Inafaida Kubwa kwa Mtoto…!

Posted on: October 3, 2013October 4, 2013 - jomushi
Michezo Inafaida Kubwa kwa Mtoto…!

Na Anna Nkinda – Maelezo WADAU wa michezo, wapenzi wa amani, afya na maendeleo ya vijana nchini wameshauriwa kuwekeza zaidi katika michezo kwani inamuepusha mtoto na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari