Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 272

Category: Michezo na Burudani

Kocha wa Ngumi Rajabu Mhamila Amzawadia Bondia

Posted on: January 31, 2014 - jomushi
Kocha wa Ngumi Rajabu Mhamila Amzawadia Bondia

Continue Reading....

Vyama vya Ngumi za Kuliwa Vyaungana

Posted on: January 30, 2014 - jomushi
Vyama vya Ngumi za Kuliwa Vyaungana

VYAMA vya ngumi za kulipwa nchini vimekubali kuungana na wenzao wa TPBO kushiriki mkutano wa mapromota wa ngumi na mabondia wote wa Tanzania. Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika…

Continue Reading....

Bondia King Class Mawe Asaini Kuzipiga na Cheka

Posted on: January 30, 2014 - jomushi
Bondia King Class Mawe Asaini Kuzipiga na Cheka

BONDIA Bora wa mwaka 2013/14 katika uzito wa KG 63, Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ ame saini mkataba wa kupambana na Cosmas Cheka Feb 8, 2014…

Continue Reading....

Madaktari VPL Kuwasilisha Vyeti TFF

Posted on: January 29, 2014 - jomushi
Madaktari VPL Kuwasilisha Vyeti TFF

MADAKTARI wote wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kupitia klabu zao wanatakiwa kuwasilisha vyeti pamoja na wasifu wao (CV) kwa Shirikisho la Mpira…

Continue Reading....

TFF Yazinadi Tiketi za Elektroniki Mechi za Ligi Kuu

Posted on: January 27, 2014 - jomushi
TFF Yazinadi Tiketi za Elektroniki Mechi za Ligi Kuu

  MAUZO ya tiketi za elektroniki kwa mechi tatu kati ya nne za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zitakazochezwa Januari 27 mwaka huu tayari yameanza, hivyo wanatakiwa…

Continue Reading....

Mechi za Yanga Simba Zaingiza Milioni 139.8

Posted on: January 27, 2014 - jomushi
Mechi za Yanga Simba Zaingiza Milioni 139.8

MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom zilizohusisha timu za Simba na Yanga na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wikiendi zimeingiza jumla ya sh.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari