NI siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Malinzi Aunda Kamati ya Miaka 50 ya FIFA, Aitakia Heri Yanga Vs Al Ahly
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameunda kamati ya watu tisa kuratibu maadhimisho ya miaka 50 tangu TFF ilipojiunga na…
Continue Reading....Wagombea 27 Warejesha Fomu Uchaguzi TASWA
WAOMBAJI 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa…
Continue Reading....TFF Yamtema Poulsen, Wavunja Mkataba, Yanga Waondolewa Taifa Stars
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote…
Continue Reading....Twiga Stars Imewiva, Shepolopolo Yawasili Dar
WAKATI Zambia (Shepolopolo) imewasili leo Februari 27 mwaka huu, Twiga Stars imesema mazoezi yamewaingia barabara tayari kwa mechi dhidi ya Wazambia hao itakayochezwa kesho (Februari…
Continue Reading....