Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 263

Category: Michezo na Burudani

Marefarii 22 Kupimwa Utimamu wa Mwili Dar, Ratiba Ligi Kuu Yarekebishwa

Posted on: March 11, 2014April 16, 2014 - jomushi
Marefarii 22 Kupimwa Utimamu wa Mwili Dar, Ratiba Ligi Kuu Yarekebishwa

WAAMUZI na waamuzi wasaidizi 22 wameteuliwa kushiriki semina na mtihani wa utimamu wa mwili kwa robo ya kwanza ya mwaka huu itakayofanyika jijini Dar es…

Continue Reading....

TFF Yabebeshwa Mzigo Vurugu Mechi ya Yanga, Yajipanga Kutoa Adhabu Kali

Posted on: March 11, 2014 - jomushi
TFF Yabebeshwa Mzigo Vurugu Mechi ya Yanga, Yajipanga Kutoa Adhabu Kali

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa…

Continue Reading....

Taifa Stars Yaanza Kutumia Jezi za Adidas

Posted on: March 9, 2014 - jomushi
Taifa Stars Yaanza Kutumia Jezi za Adidas

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilifikia makubaliano na kampuni ya Adidas kupitia msaada wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa…

Continue Reading....

Jhikoman and the Afrikabisa Band…!

Posted on: March 8, 2014 - jomushi
Jhikoman and the Afrikabisa Band…!

HAVING internationally toured, Jhikoman and the Afrikabisa band has performed in well-known international music festivals such Mela in Oslo, Norway, World Village festival / Maalma…

Continue Reading....

Simba Yapigwa Faini Kuendekeza ‘Uchawi’ Uwanjani, Coastal, Ashanti Uwanjani…!

Posted on: March 7, 2014April 16, 2014 - jomushi
Simba Yapigwa Faini Kuendekeza ‘Uchawi’ Uwanjani, Coastal, Ashanti Uwanjani…!

  Na Mwandishi Wetu BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali…

Continue Reading....

Wang’amuzi vipaji Maboresho Stars Wajichimbia Lushoto, Mujuni Kuichezesha AFC Leopards

Posted on: March 7, 2014 - jomushi
Wang’amuzi vipaji Maboresho Stars Wajichimbia Lushoto, Mujuni Kuichezesha AFC Leopards

WANG’AMUZI vipaji 28 wanakutana Lushoto mkoani Tanga kwa siku saba katika mpango maalumu wa maboresho ya Taifa Stars ambapo watatoka na orodha ya mwisho ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari