Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 257

Category: Michezo na Burudani

Dk Mukangala Aipongeza NSSF Kuviunganisha Vyombo vya Habari

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, michezo mpira
Dk Mukangala Aipongeza NSSF Kuviunganisha Vyombo vya Habari

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)…

Continue Reading....

Watoto wa Mitaani Waliotwaa Ubingwa wa Dunia, Waomba Kuendelezwa…!

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Watoto wa Mitaani Waliotwaa Ubingwa wa Dunia, Waomba Kuendelezwa…!

Na Magreth Kinabo – Dodoma   MFUNGAJI bora wa Timu ya Watoto wa Mitaani kutoka Mwanza Tanzania, iliyotwaa ubingwa wa dunia(TSC) katika mashindano ya Kombe…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aipongeza Timu ya Watoto wa Mitaa, Yatambulishwa Bungeni…!

Posted on: April 12, 2014April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, michezo
Rais Kikwete Aipongeza Timu ya Watoto wa Mitaa, Yatambulishwa Bungeni…!

RAIS Jakaya Kikwete ameipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kwa kutwaa Kombe la Dunia huko Rio de Janeiro – Brazil. “Mmetuwakilisha vyema, ninawapongeza…

Continue Reading....

Proin Promotions Limited Wawasili Dodoma Kumsaka Staa wa Kuigiza

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Proin Promotions Limited Wawasili Dodoma Kumsaka Staa wa Kuigiza

Hatimaye kikosi kazi cha Proin Promotions Limited kimeshawasili mkoani Dodoma tayari kwa Kazi ya Kusaka vipaji vya kuigiza Katika Kanda ya Kati ambayo inawakilishwa na…

Continue Reading....

Tanzania Movie Talents Yahamia Mkoani Dodoma…!

Posted on: April 10, 2014 - jomushi
Tanzania Movie Talents Yahamia Mkoani Dodoma…!

Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania…

Continue Reading....

Mpinzani wa Francis Cheka, Zohrevand Kuwasili Kesho

Posted on: April 8, 2014 - jomushi
Mpinzani wa Francis Cheka, Zohrevand Kuwasili Kesho

WAKATI mpinzani wa Bondia Francis Cheka, Gavad Zohrevand, anawasili nchini kesho, mpinzani wa Francis Miyeyusho, Agelito Merin, atawasili kesho kwa ajili ya pambano lao litalaofanyika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari