Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Vijana Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Wachujwa
Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa…
Continue Reading....Wachezaji 19 Watajwa Kuunda Taifa Stars, Beach Soccer Yaiva…!
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa…
Continue Reading....Azam FC Kukabidhiwa Kombe Kesho, Yanga na Simba Patashika…!
MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inafikia tamati kesho (Aprili 19 mwaka huu) kwa timu zote 14 kuwa viwanjani,…
Continue Reading....Miyeyusho na Matumla Kuzipiga Mei 10
MPAMBANO wa masumbwi wa bondia Fransic Miyeyusho na Mohamed Matumla sasa utafanyika Mei 10 katika ukumbi wa PTA Sabasaba mpambano huo uliokuwa ufanyike Aprili 26…
Continue Reading....Kanda ya Kati Yawapata Wawakilishi Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Dodoma HII ni baada ya washindi watatu kutoka Kanda ya Kati kupatikana katika shindano la kusaka vipaji…
Continue Reading....