MWANAMUZIKI maarufu wa Reggae Afrika Mashariki, Jhikoman na mzuka wake wa Afrikabisa Band kutoka Mjini Bagamoyo, Tanzania ameshawasili nchini Finland kwa ziara ya miezi mitatu…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Mkenya Anthony Ogwayo Kuzichezesha Taifa Stars na Burundi
MWAMUZI Anthony Ogwayo mwenye beji ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kutoka Kenya ndiye atakayechezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na…
Continue Reading....Timu ya Taifa Burundi Kuwasili Kesho Kuikabili Stars
TIMU ya Taifa ya Burundi (Intamba Mu Rugamba) inatarajiwa kuwasili nchini kesho, Aprili 24 mwaka huu saa 12 jioni kwa ndege ya Kenya Airways tayari…
Continue Reading....Washindi wa Tanzania Movie Talents Nyanda ya Juu Kusini Wapatikana
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya SHINDANO la Tanzania Movie Talents kwa Kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati…
Continue Reading....Viingilio Kuziona Taifa Stars na Burundi Shs 5,000
VIINGILIO cha chini katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba) itakayochezwa Aprili…
Continue Reading....Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Laendelea
Kundi la Kwanza la Washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya pili ya Mchujo katika Mashindano ya Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Wakipewa maelekezo kwaajili ya kuanza…
Continue Reading....