SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika Mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15. Akizungumza katika uzinduzi…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Diamond Kiboko, Ambadili Jina Wema Sepetu…!
Na Mwandishi Wetu, dev.kisakuzi.com Dar MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya anayeendelea kukubalika katika tasnia hiyo, Naseeb Abdul au maarufu kwa jina la Diamond…
Continue Reading....Ligi Kuu Msimu wa 2015/2016 Kushindanisha Timu 16
LIGI Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa. Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji…
Continue Reading....Diamond Afanya Kufuru Tuzo za Kilimanjaro Muziki
Na Mwandishi Wetu, Dar MSANII wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum usiku huu jijini Dar es Salaam amefanya kufuru baada ya…
Continue Reading....Viatu Virefu Vyamuumbua Msanii Vanesa Mdee Jukwaani…!
Na Mwandishi Wetu, Dar UVAAJI wa viatu virefu bila kuwa na uzoefu navyo au kufanya mazoezi namna ya kuvitembelea usiku huu vilimuumbua msanii maarufu wa…
Continue Reading....AZAM FC Wampelekea Rais Kikwete Kombe…!
Na dev.kisakuzi.com, Dar es Salaam TIMU ya Mpira wa Miguu ya Azam FC ambao ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania…
Continue Reading....