Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 243

Category: Michezo na Burudani

Innocent Nyanyagwa Afunika Tamasha la ZIFF 2014

Posted on: June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Tamasha la ZIFF 2014
Innocent Nyanyagwa Afunika Tamasha la ZIFF 2014

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu ya kufunza kizazi kijacho kuhusu…

Continue Reading....

Mechi ya Uingereza na Italia Yaongoza kwa Idadi ya Pasi

Posted on: June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Uingereza na Italia Kombe la Dunia
Mechi ya Uingereza na Italia Yaongoza kwa Idadi ya Pasi

MECHI ya mchezo wa fainali za Kombe la Dunia kundi ‘D’ kati ya timu ya Taifa ya Uingereza na Itali ndiyo inayoongoza kwa kuwa mechi…

Continue Reading....

Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Shindano la TMT
Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi…

Continue Reading....

TFF Yambana Michael Wambura, Rufani Yake Yakwama

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: TFF Yambana Michael Wambura
TFF Yambana Michael Wambura, Rufani Yake Yakwama

KAMATI ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa…

Continue Reading....

Mabingwa Watetezi; Hispania Nje Kombe la Dunia, Cameroon Wawafuata

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Mabingwa Watetezi; Hispania Nje Kombe la Dunia, Cameroon Wawafuata

MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia, Hispania wameondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2014, inayoendelea nchini Brazil baada ya kuchalazwa mabao 2 kwa…

Continue Reading....

Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Post Tags: ZIFF 2014
Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari