THE 40Th Edition of CECAFA-KAGAME Club Cup Championship draws took place in KigaliCapital City, Rwandathis Friday with CECAFA, FERWAFA, SUPPERSPORT and Top Government officials witnessing…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Serengeti Boyz Kujipima Azam Complex
TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boyz) inacheza mechi ya kujipima nguvu Julai 11 mwaka huu dhidi ya Azam…
Continue Reading....Bongo Movie Wafuturisha Wasanii na Wadau Wake Dar
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa…
Continue Reading....Ligi Kuu Tanzania Bara Kutimua Vumbi Sep 20
MICHUANO ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 itaanza kutimua vumbi Septemba 20 mwaka huu. Awali michuano hiyo…
Continue Reading....Kuziona Taifa Stars na Msumbiji Shilingi 7,000
KIINGILIO cha chini cha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Msumbiji (Mambas) itakayochezwa Julai 20 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kitakuwa…
Continue Reading....Ujerumani Yafanya ‘Mauaji’ ya Kihistoria Brazil
TIMU ya Taifa ya Ujerumani imefanya mauaji ya kihistoria katika Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibugiza Timu ya Brazil mabao saba kwa moja…
Continue Reading....