Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 220

Category: Michezo na Burudani

Diamond: Siwezi Kwenda Mahakamani…!

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Bongo fleva, Diamond Platnumz, Msanii
Diamond: Siwezi Kwenda Mahakamani…!

MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz amesema kamwe hawezi kwenda mahakamani kumshtaki mtu kwa ajili ya kashfa na vituko…

Continue Reading....

Bifu la Diamond, Ali Kiba Lahamia kwa Mashabiki…!

Posted on: October 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Ali Kiba, diamond, wasanii
Bifu la Diamond, Ali Kiba Lahamia kwa Mashabiki…!

Na Mwandishi Wetu, BIFU la wanamuziki nyota wa muziki wa bongo fleva kati ya msanii Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na msanii Ali Kiba limeendelea…

Continue Reading....

Tamasha la Handeni Kwetu Lawalilia Wadhamini

Posted on: October 21, 2014October 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Handeni, Tamasha, Utamaduni
Tamasha la Handeni Kwetu Lawalilia Wadhamini

  Na Mwandishi Wetu, Handeni WADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa…

Continue Reading....

Miss Tanzania 2014 Azungumzia Umri Wake, Lundenga Ajitoa..!

Posted on: October 21, 2014October 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Hashimu Lundenga, Miss Tanzania 2014
Miss Tanzania 2014 Azungumzia Umri Wake, Lundenga Ajitoa..!

KIZUNGUMKUTI kilichotanda tangu kutangazwa kwa mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu leo kimeingia katika utata zaidi baada ya mlimbwende huyo…

Continue Reading....

Mkenya Atolewa Jumba la Big Brother

Posted on: October 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Big Brother, Mkenya, Sabina Anyango
Mkenya Atolewa Jumba la Big Brother

MWAKILISHI wa Kenya ndani ya jumba la Big Brother, Sabina Anyango ametolewa ndani ya jumba hilo. Sabina ambaye ni mama wa mtoto wa miezi minane…

Continue Reading....

Oscar Pistorius Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5

Posted on: October 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Afungwa Jela, Oscar Pistorius, Riadha
Oscar Pistorius Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5

MWANARIADHA nyota wa nchi ya Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kwenda jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp bila…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari