Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 213

Category: Michezo na Burudani

TFF Yaifuata CRDB, Yafanya Marekebisho ya Katiba

Posted on: December 20, 2014 - jomushi
Post Tags: CRDB, elektroniki, TFF
TFF Yaifuata CRDB, Yafanya Marekebisho ya Katiba

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana Desemba 19 mwaka huu jijini Dar es Salaam, imezingatia upungufu uliopo katika utekelezaji…

Continue Reading....

Friends Rangers Kujipima na Ndanda FC ya Mtwara

Posted on: December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Friends Rangers, Ndanda FC
Friends Rangers Kujipima na Ndanda FC ya Mtwara

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara, katika…

Continue Reading....

Aisha Madinda Kuzikwa Leo

Posted on: December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Aisha Madinda, Kuzikwa
Aisha Madinda Kuzikwa Leo

ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa muziki wa dansi toka bendi ya Twanga pepeta, Aisha Madinda aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam. Awali mazishi ya msanii…

Continue Reading....

Mnenguaji Aisha Madinda Afariki Dunia Leo

Posted on: December 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Aisha Madinda afariki dunia
Mnenguaji Aisha Madinda Afariki Dunia Leo

ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa Bendi ya Twanga Pepeta, ‘African Stars’ na Extra Bongo, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ambazo mtandao…

Continue Reading....

Maximo Yametimia, Yanga Yamtimua Kocha Maximo

Posted on: December 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Marcio Maximo Kocha, Yanga wamtimua
Maximo Yametimia, Yanga Yamtimua Kocha Maximo

KATIKA hali isiyouwa ya kawaida Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam imemtimua kocha wake Mkuu Marcio Maximo na kuingia mkataba na Kocha Amiss…

Continue Reading....

Matukio Picha Onesho la Msanii Christian Bella Da West Tabata

Posted on: December 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Christian Bella, Da West Park Tabata, Dar
Matukio Picha Onesho la Msanii Christian Bella Da West Tabata

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari