Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 211

Category: Michezo na Burudani

Taifa Stars Maboresho Kucheza Kirafiki na Rwanda

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Maboresho, Rwanda, Taifa Stars
Taifa Stars Maboresho Kucheza Kirafiki na Rwanda

KIKOSI cha Taifa Stars Maboresho kitacheza mechi ya kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda itakayofanyika Januari 22 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba…

Continue Reading....

Mada Maugo na Kalama Nyilawila Kuzipiga Machi 8

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: bondia, Kalama Nyilawila, Mada Maugo
Mada Maugo na Kalama Nyilawila Kuzipiga Machi 8

MABONDIA wenye upinzania mkali Mabondia Mada Maugo pamoja na Kalama Nyilawila wanatarajia kupanda jukwaani kuzipiga ili kumaliza ubishi. Pambano hilo linatarajia kufanyika Machi 8, 2015…

Continue Reading....

Ujio wa Bondia Kimweri Fursa kwa Mabondoa Tanzania

Posted on: January 6, 2015January 6, 2015 - jomushi
Ujio wa Bondia Kimweri Fursa kwa Mabondoa Tanzania

Na Mwandishi Wetu NDONDI ni miongoni mwa mchezo maarufu nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia…

Continue Reading....

Mwanza Queens Yaichapa Mara Queens 6-1 Women Taifa Cup

Posted on: January 1, 2015 - jomushi
Post Tags: Mwanza, Women Taifa Cup
Mwanza Queens Yaichapa Mara Queens 6-1 Women Taifa Cup

Kikosi cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa…

Continue Reading....

TFF Yataja Timu Zitakazo Shiriki Mapinduzi

Posted on: December 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Kombe la Mapinduzi, TFF
TFF Yataja Timu Zitakazo Shiriki Mapinduzi

TIMU za Azam, Mtibwa Sugar, Simba na Yanga zitashiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika kisiwani Zanzibar kuanzia Januari 1 hadi 13 mwakani. Shirikisho la…

Continue Reading....

Yanga Yagawanyika, Manji Aingia Mgogoro

Posted on: December 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Manji, Mgogoro, yanga
Yanga Yagawanyika, Manji Aingia Mgogoro

BAADA ya kumtimua kocha Mkuu wa timu yake na baada ya kubwaga chini sekretariati ya klabu hiyo, Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Sports Club…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari