Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 194

Category: Michezo na Burudani

Coastal Union Yamnasa ‘Messi’ wa Simba

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Simba
Coastal Union Yamnasa ‘Messi’ wa Simba

Na Mwandishi Wetu, Tanga TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu ili kujiimarisha vilivyo katika safu mbalimbali ambapo jana ilifanikiwa kuingia…

Continue Reading....

Kagame Cup 2015; Leo ni Azam FC Vs Yanga SC

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Kagame Cup 2015; Leo ni Azam FC Vs Yanga SC

HATUA ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo miwili kuchezwa katika…

Continue Reading....

Makundi 5 Yatinga Ndani ya Dance 100% 2015 Usaili Temeke

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Dance 100%
Makundi 5 Yatinga Ndani ya Dance 100% 2015 Usaili Temeke

Usaili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The…

Continue Reading....

Club ya Simba Yaendelea Kuleta Mapinduzi…!

Posted on: July 21, 2015July 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Club ya Simba
Club ya Simba Yaendelea Kuleta Mapinduzi…!

DHIMA yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi…

Continue Reading....

Tanzanite ya Tanzania Yawafuata Young She-Polopolo

Posted on: July 21, 2015July 21, 2015 - jomushi
Tanzanite ya Tanzania Yawafuata Young She-Polopolo

TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) wanatarajiwa kuondoka kesho jumatano asubuhi kwa Rwanda Air kuelekea nchini Zambia…

Continue Reading....

Coastal Union Yasajili 13 Msimu Mpya Ligi Kuu

Posted on: July 21, 2015 - jomushi
Coastal Union Yasajili 13 Msimu Mpya Ligi Kuu

KLABU ya Coastal Union imesajili wachezaji 13 ambao wataitumikia timu hiyo katika michuano ya Ligi kuu msimu ujao Tanzania bara unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari