Klabu ya Simba imefanikiwa kuwa na matokeo mazuri tangu kikosi hicho kiwe chini ya Kocha raia wa Uganda Jackson Mayanja, Baada ya jana kuilaza JKT…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Rwanda Yatinga Robo Fainali Michuano ya CHAN
Rwanda imekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa robofainali ya michuano ya taifa bingwa Afrika kwa wachezaji wa ndani baada ya kuilaza Gabon. Rwanda, ambao ni…
Continue Reading....Ligi Kuu Kuendelea Leo, Yanga Kuikaribisha Majimaji Taifa
Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 15 unatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo mitano, na Alhamisi kwa michezo mitatu kwa kila timu kusaka pointi tatu…
Continue Reading....Rais wa Chama Cha Soka Barani Asia Atembelea Ofisi Za TFF
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Asia (AFC), na Makamu wa Rais wa FIFA, Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa jana ametembelea wizara…
Continue Reading....Mwezi wa Majanga Kwa Wanamuzi, Frey Afariki Dunia
Mpiga gitaa na mtunzi wa nyimbo Glenn Frey, ambaye pia ni mwanachama mwanzilishi wa bendi ya The Eagles amefariki. Frey, amefariki jijini New York akiwa…
Continue Reading....Dili la Simba Kumnasa Hemed Morocco Limebuma
Klabu ya SimbaSC ilikuwa kwenye mazungumzo ya kumpa kazi ya u-technical director kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania Hemed Suleiman Ally ‘Morocco’, dili…
Continue Reading....