Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake na klabu hiyo ulivunjwa kutokana na makosa ya kinidhamu ya nahodha huyo wa Rwanda, Jana ameanza rasmi…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Rais wa TFF Atoa Salamu za Rambirambi Kwa Timu ya Prisons ya Mbeya
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambi rambi kwa klabu ya Tanzania Prisons inayoshiriki Ligi Kuu ya…
Continue Reading....Simba SC Kukipiga Jamuhuri Leo FA Cup, Yanga Kutua Mwanza Kesho
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii mpaka katikati ya juma lijalo kwa michezo 13…
Continue Reading....Ashanti Yatupwa Nje Michuano y FA kwa Kuchezesha Mamluki
Kikao cha Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichoketi juzi na kupitia taarifa mbalimbali za michezo ya Kombe la Shirikisho…
Continue Reading....Wakali wa Mpira wa Kikapu Malawi Kucheza Kirafiki Dar…!
Mratibu wa Sprite BBall Kitaa Karabani Karabani akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es- Salaam kuhusu mechi za kirafiki zitakazochezwa Jumamosi na Jumapili katika uwanja…
Continue Reading....Friends Rangers Yaionya Yanga SC
Mwandishi Wetu UONGOZI wa klabu ya Friends Rangers, umesema klabu ya Yanga isitarajie mteremko katika mchezo wao wa kuwania Kombe la FA, utakaofanyika kesho kutwa…
Continue Reading....