Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 154

Category: Michezo na Burudani

Uganda Yaambulia Pointi Moja Michuano ya CHAN

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Uganda Yaambulia Pointi Moja Michuano ya CHAN

Mali imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Zimbabwe katika kundi lao mechi iliyochezwa mjini Rubavu. Goli hilo lilipatikana kunako dakika ya 82 na kufungwa…

Continue Reading....

Hizi ndizo Sababu za Kujiuzuru Katibu Mkuu Wa Yanga

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Hizi ndizo Sababu za Kujiuzuru Katibu Mkuu Wa Yanga

KATIBU Mkuu wa Yanga SC, Dk. Jonas Tiboroha amejiuzulu na tayari amewasilisha barua kwa Mwenyekiti, Yussuf Mehboob Manji. Tiboroha asema kwamba amechukua uamuzi huo ilia…

Continue Reading....

Mariah Carey Apata Mchumba Bilionea wa Australia

Posted on: January 23, 2016 - Yohana Chance
Mariah Carey Apata Mchumba Bilionea wa Australia

Mwanamuziki na nyota wa muziki aina ya pop Mariah Carey amempata mchumba. Imefahamu kwamba mwanamuziki huyo kutoka Marekani ana uchumba na bilionea kutoka Australia James…

Continue Reading....

Michuano ya CHAN Yaendelea Kushika Kasi Nchini Rwanda

Posted on: January 23, 2016 - Yohana Chance
Michuano ya CHAN Yaendelea Kushika Kasi Nchini Rwanda

Mechi za mzunguko wa pili Kundi C katika michuano ya kombe la taifa bingwa Afrika CHAN kwa wachezaji wa ligi za ndani zimemalizika kwa klabu…

Continue Reading....

Klabu ya Manchester United Yakanusha Kumtaka Guardiola

Posted on: January 23, 2016 - Yohana Chance
Klabu ya Manchester United Yakanusha Kumtaka Guardiola

Manchester United wamekanusha habari kwamba walikutana na kuzungumza na meneja wa Bayern Munich Pep Guardiola kuhusu uwezekano wake kuwa meneja wao. Tovuti ya France Football…

Continue Reading....

Mascherano Ajisalimisha Mahakamni ili Asitupwe Jela

Posted on: January 23, 2016January 23, 2016 - Yohana Chance
Mascherano Ajisalimisha Mahakamni ili Asitupwe Jela

Beki wa klabu ya Barcelona na Argentina Javier Mascherano amefika mahakamani kujaribu kuzuia asitupwe jela kwa kosa la ulaghai katika ulipaji ushuru. Anadaiwa kutumia ulaghai…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari