Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 152

Category: Michezo na Burudani

Yemi Alade Na Gode Video Ya Kiswahili

Posted on: January 25, 2016 - admin
Post Tags: Na Gode, Na Gode Kiswahili, Yemi Alade
Yemi Alade  Na Gode Video Ya Kiswahili

Wimbo wa “Na Gode” wa mwimbaji maarufu kutoka Nigeria Yemi Alade umekua ukitamba sana hapa nchini, na mwimbaji huyo ametoa video ya wimbo huo ambayo…

Continue Reading....

Chama cha Karate Kilimanjaro Chaipigia Magoti Serikali

Posted on: January 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Karate
Chama cha Karate Kilimanjaro Chaipigia Magoti Serikali

Vero Ignatus – Moshi Kilimanjaro CHAMA cha Karate Mkoa wa Kilimanjaro wanaiomba serikali kutupia macho kwenye mchezo huo kwani imekuwa ikiwasahau ukizingatia mchezo huo ni michezo…

Continue Reading....

Huyu Ndiye Mshindi wa Shindano la Bongo Style…!

Posted on: January 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Bongo Style
Huyu Ndiye Mshindi wa  Shindano la Bongo Style…!

Mshindi wa Ubunifu mitindo Jocktan Cosmas Maluli A.k.a Makeke(aliyeshika cheti) akiwa katika picha ya pamoja na  waratibu wa shindano hilo kuanzia kushoto ni  Zamda George,…

Continue Reading....

Kocha Wa Arsenal, Asene Wenger Adai Chelsea Ilibebwa

Posted on: January 25, 2016January 25, 2016 - Yohana Chance
Kocha Wa Arsenal, Asene Wenger Adai Chelsea Ilibebwa

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea walipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal wakiwa ugenini. Arsenal walicheza mchezo huu wakiwa pungufu baada…

Continue Reading....

Baraka Deusdedit Katibu Mpya Yanga, Frank Chacha Apigwa Chini

Posted on: January 25, 2016 - Yohana Chance
Baraka Deusdedit Katibu Mpya Yanga, Frank Chacha Apigwa Chini

Uongozi wa klabu ya Yanga umefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi kwenye klabu hiyo mara baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga kubwaga manyanga. Mwenyekiti…

Continue Reading....

Rwanda Yaambulia Kichapo Cha Kwanza Michuano ya CHAN

Posted on: January 25, 2016 - Yohana Chance
Rwanda Yaambulia Kichapo Cha Kwanza Michuano ya CHAN

Mashindano ya kuwania kombe la Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani CHAN yaliendelea kutifua vumbi nchini Rwanda, wenyeji wakichapwa 4-1 na Morocco jana Jumapili.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari