Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 151

Category: Michezo na Burudani

TFF Yatuma Salamu za Rambirambi kwa Kocha Mingange

Posted on: January 27, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatuma Salamu za Rambirambi kwa Kocha Mingange

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa Kocha Mkuu wa klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom, Meja…

Continue Reading....

Azam, Panone Fc Zagawa Dozi Michuano ya Shirikisho

Posted on: January 26, 2016January 26, 2016 - Yohana Chance
Azam, Panone Fc Zagawa Dozi Michuano ya Shirikisho

Timu za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara bado zimeendelea kutoa dozi kwenye michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya jana Azam FC kutoa…

Continue Reading....

Van Gaal Asema Walistahili Zomea Zomea Kutoka Kwa Mashabiki Wao

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
Van Gaal Asema Walistahili Zomea Zomea Kutoka Kwa Mashabiki Wao

Van Gaal amekiri kuwa walistahili zomea zomea ya mashabiki kufuatia msururu wa matokeo mabya ambayo mwishoni mwa wiki ilikula kichapo cha bao moja kwa nunge…

Continue Reading....

Ramires Atimukia China, Drogba Abaniwa Kurejea Chelsea

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
Ramires Atimukia China, Drogba Abaniwa Kurejea Chelsea

Kiungo wa kimataifa wa Brazil na klabu ya soka Chelsea Ramires Santos do Nascimento anakaribia kujiunga na timu ya Jiangsu Suning ya China. Kiungo huyu…

Continue Reading....

Wimbo Wa Adele Watazamwa Mara Bilioni You Tube

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
Wimbo Wa Adele Watazamwa Mara Bilioni You Tube

Wimbo wa mwanamuziki Mwingereza Adele umevunja rekodi nyingine kwa kutazamwa mara bilioni moja haraka zaidi katika YouTube. Video ya wimbo huo, Hello, imetazamwa mara bilioni…

Continue Reading....

IFAB Kuanza na Teknolojia Mpya Msimu Ujao wa Soka

Posted on: January 26, 2016 - Yohana Chance
IFAB Kuanza na Teknolojia Mpya Msimu Ujao wa Soka

Teknolojia ya video huenda ikafanyiwa majaribio msimu ujao katika ligi kuu za soka za baadhi ya nchi baada ya uamuzi wa Bodi ya Shirikisho la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari