Mchezaji wa Brazil Neymar aliitwa Mahakamani kutoa ushahidi katika mahakama moja ya Uhispania kuhusu madai ya ufisadi yanayozunguka uhamisho wake katika kilabu ya Barcelona. Aliyekuwa…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Kuondoka kwa Pep Guardiola Agawa Makundi klabu ya Bayern
Kuna ripoti za kuwapo mvutano katika kikosi cha BAYERN MUNICH ambapo jarida la michezo la Ujerumani Kicker limemnukuu mchezaji mmoja akisema kuwa mazingira siyo mazuri…
Continue Reading....Adele Asisitiza Songi lake Jipya la Hello Hajaliruhusu Kupigwa Bila Idhini
Mwanamuziki Muingereza aliyegonga vichwa habari na kukonga nyoyo za mamilioni ya watu kote duniani kwa wimbo wake maararufu ”Hello” Adele amekariri kuwa hajatoa idhini yeyote…
Continue Reading....Malinzi Ampongeza Rais Kikwete Kwa Kukubali Ombi la CAF
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa kukubali uteuzi wa Shirikisho la…
Continue Reading....Simba Yajitupa Taifa, Yanga Ndani ya Sokoine Kuikabili Prisons
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa 17 unatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, huku kila timu ikisaka pointi…
Continue Reading....Malinzi Ampongeza Makunga Kuwa Mwenyekiti
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Theophil Makunga kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)…
Continue Reading....