Mali imejikatia tikiti ya kushiriki fainali ya mchuano wa kuwania ubingwa wa Afrika miongoni mwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nyumbani CHAN dhidi ya Congo DR…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu
Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary Neville ilipokezwa kichapo cha mwaka na klabu ya Barcelona katika nusufainali ya michuano…
Continue Reading....Kampuni ya Jay Z imempeleka Mahakamani Rita Ora
Kampuni ya kurekodi ya Jay Z’s Roc Nation, imemshtaki mwanamuziki Rita Ora ikidai alivunja kandarasi yake mbali na kutotengeza idadi ya albamu alizoahidi. Kesi hiyo…
Continue Reading....Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefuzu kwa fainali ya mchuano wa CHAN. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ilijikatia tikiti ya fainali baada ya kuilaza Guinea…
Continue Reading....Mnyama Simba Aunguruma Taifa, Yanga Yapigishwa Kwata Mbeya
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Tanzania, klabu ya Dar Es Salaam Young…
Continue Reading....Klopp amwonya Guardiola kuhusu Ligi ya Uingereza
Kocha wa Liverpool Jürgen Klopp amemwonya Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola kuhusu msongamano wa orodha ya michuano ya Ligi Kuu ya Uingereza Guardiola ambaye…
Continue Reading....