Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 135

Category: Michezo na Burudani

Sir Bobby Charlton Kuongezewa Heshima Manchester United

Posted on: February 16, 2016February 16, 2016 - Yohana Chance
Sir Bobby Charlton Kuongezewa Heshima Manchester United

Jukwaa la Kusini la Uwanjani Old Trafford ambalo ndio sehemu pekee ya Uwanja wa awali uliojengwa Mwaka 1910 ambayo imebakia litabatizwa Jina la Lejendari wa…

Continue Reading....

Duu! Kweli Van Gaal Ana Roho Ngumu, Hebu Soma Hii Habari

Posted on: February 16, 2016 - Yohana Chance
Duu! Kweli Van Gaal Ana Roho Ngumu, Hebu Soma Hii Habari

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amesema njia rahisi sasa kwa klabu hiyo kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao ni kushinda…

Continue Reading....

Simba Bado Wazisaka Fedha za Mauzo ya Samatta

Posted on: February 16, 2016 - Yohana Chance
Simba Bado Wazisaka Fedha za Mauzo ya Samatta

Timu ya Simba iko katika mazungumzo yanayoendelea vema ili iweze kupata mgao wake baada ya aliyekuwa mchezaji wake Mbwana Ally Samatta kuuzwa huko Ubeligiji. Simba…

Continue Reading....

Utamu wa UEFA Umerejea, Chealsea Kuivaa PSG

Posted on: February 15, 2016February 16, 2016 - Yohana Chance
Utamu wa UEFA Umerejea, Chealsea Kuivaa PSG

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya (Uefa champion Ligi) itaendelea tena siku ya Kesho Jumanne Usiku kwa Mechi 2 za kwanza za Raundi ya Mtoano…

Continue Reading....

Barcelona Yaendelea Kujikita Kileleni Mwa Ligi Uhispania

Posted on: February 15, 2016 - Yohana Chance
Barcelona Yaendelea Kujikita Kileleni Mwa Ligi Uhispania

Timu ya Barcelona usiku wa jana ilifanikiwa kuinyuka Celta De Vigo kwa mabao 6-1, katika mwendelezo wa Ligi kuu ya Hispania kupitia mabao ambayo yalifungwa…

Continue Reading....

Dogo Aangukiwa Zali Kutoka Kwa Kanye West

Posted on: February 15, 2016 - Yohana Chance
Dogo Aangukiwa Zali Kutoka Kwa Kanye West

Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake. Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa kirefu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari