Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 134

Category: Michezo na Burudani

Michel Platin Atakufa na FIFA yake Mwaka Huu

Posted on: February 17, 2016February 17, 2016 - Yohana Chance
Michel Platin Atakufa na FIFA yake Mwaka Huu

FIFA iliwafungia Michel Platini na Sepp Blatter kujihusisha na soka baada ya wote wawili kukutwa na kosa la kujihusisha na mambo ya rushwa yenye thamani…

Continue Reading....

Mahakama Nchini Brazil Yamkaba Neymar

Posted on: February 17, 2016 - Yohana Chance
Mahakama Nchini Brazil Yamkaba Neymar

Mahakama moja ya Brazil imepiga tanji mali ya mchezaji nyota wa Barcelona, Neymar. Mahakama hiyo iliopo Sao Paulo ilitangaza kuwa inatoa waranti ya kuzuia mali…

Continue Reading....

TFF Yatangaza Viingilio vya Mchezo wa Watani wa Jadi

Posted on: February 17, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatangaza Viingilio vya Mchezo wa Watani wa Jadi

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya watani wa jadi Simba SC na…

Continue Reading....

Mwanamuziki ‘John Walker’ Afariki Dunia…!

Posted on: February 16, 2016February 16, 2016 - jomushi
Post Tags: John Walker
Mwanamuziki ‘John Walker’ Afariki Dunia…!

AKIZUNGUMZA kwa njia ya simu na mwandishi wa habari hizi kaka wa marehemu Omari Milay, alisema walipigiwa simu alfajiri ya leo na kujulishwa kuwa ndugu…

Continue Reading....

Manchester United, Liverpool na Tottenham Ndani ya EUROPA Ligi

Posted on: February 16, 2016 - Yohana Chance
Manchester United, Liverpool na Tottenham Ndani ya EUROPA Ligi

Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya UEFA EUROPA LIGI itachezwa Wiki hii kwa Mechi 16 na England ina Timu 3 ambazo ni Manchester United,…

Continue Reading....

TFF Wamkomalia Mwinyi Kazimoto Kumpiga Mwandishi wa Habari

Posted on: February 16, 2016 - Yohana Chance
TFF Wamkomalia Mwinyi Kazimoto Kumpiga Mwandishi wa Habari

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kupigwa kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Mwanaspoti nchini, Mwanahiba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari