Kocha Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja ameamua kikosi chake kuwa kinapata dozi moja tu kwa siku. Uamuzi huo wa Mayanja ni wakati wa maandalizi ya…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Duu Simba Nouma Wazifuata Fedha zao TP Mazembe Kwa Kumuuza Samatta
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe yupo Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tangu jana kuchukua mgawo wao wa…
Continue Reading....Cannavaro Hatihati Kumkosa Mnyama Simba Kesho
NAHODHA wa Yanga SC, Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’ hayuko tayari kwa mchezo dhidi ya mahasimu, Simba SC Jumamosi, baada ya kushindwa kuendelea na mazoezi kutokana…
Continue Reading....Coastal Union Watua Shinyanga Waifuata Mwadui ya Julio
Mabingwa wa zamani wa Mpira wa Miguu Tanzania bara, Coastal Union ya Tanga imeondoka Tanga jana Alhamis kuelekea mkoani Shinyanga kucheza na timu ya Mwadui…
Continue Reading....Beyonce Akumbana na Pingamizi Nchini Marekani
Waandamanaji watatu walijitokeza katika mkutano wa kumpinga nyota wa muziki Beyonce nje ya uwanja wa Mpira ya Marekani mjini New York. Maandamano hayo yaliitishwa baada…
Continue Reading....Manchester United Yachapwa EUROPA ligi, Pata Mtokeo Kamili
Michuano ya kombe la Europa ligi ilianza kutimua vumbi kwa viwanja kumi na mbili kuwaka moto.Man United wakicheza ugenini huko nchin Dernmark wamechapwa kwa mabao…
Continue Reading....