Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 120

Category: Michezo na Burudani

Matokeo, na Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Hii Hapa, Leicester City Yatoa Sare

Posted on: March 2, 2016 - Yohana Chance
Matokeo, na Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Hii Hapa, Leicester City Yatoa Sare

Klabu ya Leicester City wamepoteza nafasi ya kufungua mwanya wa alama tano kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kutoka sare 2-2 na West…

Continue Reading....

Wizara ya Michezo Yatoa Sapoti Kwa Twiga Stars Kuelekea Mchezo wa Ijumaa

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Wizara ya Michezo Yatoa Sapoti Kwa Twiga Stars Kuelekea Mchezo wa Ijumaa

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa motisha kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu wanawake (Twiga Stars) wakishinda…

Continue Reading....

TFF Yatangaza Viingilio vya Mchezo wa Twiga Stars dhidi ya Zimbabwe

Posted on: March 1, 2016March 1, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatangaza Viingilio vya Mchezo wa Twiga Stars dhidi ya Zimbabwe

Kiingilio cha chini cha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Taifa…

Continue Reading....

Azamu Yaisambaratisha Panone Fc na Kutinga Robo Fainali FA CUP

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Azamu Yaisambaratisha Panone Fc na Kutinga Robo Fainali FA CUP

Na; Binzubeiry.co.tz AZAM FC imekamilisha idadi ya timu nane za kucheza Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama…

Continue Reading....

Wenger Awatoa Mchecheto Wachezaji wake Baada ya Kichapo Cha Manchester United

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Wenger Awatoa Mchecheto Wachezaji wake Baada ya Kichapo Cha Manchester United

Meneja wa Arsenal amesema kuwa wachezaji wake hawana budi kusahau kichapo cha Manchester United na kuganga ya Swansea. Mkufunzi wa klabu hicho Arsene Wenger anasema…

Continue Reading....

Rais wa Bayern Uli Hoeness Aachiliwa Huru Kutoka Jela

Posted on: March 1, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Bayern Uli Hoeness Aachiliwa Huru Kutoka Jela

Rais wa zamani wa Bayern Munich Uli Hoeness hatimaye yuko huru. Ameachiliwa huru kutoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miezi 21 kwa makosa ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari