Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limefanya mkutano wake mkuu katika hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, huku mkuu wa Mkoa wa Tanga…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Barcelona Haishikiki La Liga, Getafe Achapwa Sita Camp Nou
Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Getafe katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo,…
Continue Reading....Brazil Wapuuza Uvumi wa Maandamano Michuano ya Olimpiki
Maafisa nchini Brazil wamepuuza vitisho vya kuzuka maandamano makubwa wakati wa michezo ya Olimpiki, licha ya mgogoro wa uchmi na kisiasa na sakata linalochipuka la…
Continue Reading....Baada ya Kuchapwa na Liverpool Van Gaal Aja na Mbinu Mpya
Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal amesisitiza kuwa mbinu yake ya uchezaji katika kilabu yake imeanza kufua dafu,huku kilabu hiyo ikiwa…
Continue Reading....Kweli Yanga Jeuri, Popote Kwao ni Kambi APR Yakiona Cha Moto
YANGA SC imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia hatua ya mwisho ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi…
Continue Reading....Azam Fc Habari ya Mjini ndani ya Jiji la Johannesburg yafanya Kweli
AZAM FC imeanza vyema michuano ya Afrika kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji Bidvest Wits jioni ya leo Uwanja wa Bidvest mjini Johannesburg,…
Continue Reading....