Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 107

Category: Michezo na Burudani

TFF Yakanusha Taarifa Inayodai Wamepata Hasara ya Milioni 500

Posted on: March 16, 2016 - Yohana Chance
TFF Yakanusha Taarifa Inayodai Wamepata Hasara ya Milioni 500

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na taarifa za upotoshaji za chombo kimoja cha habari ambacho mmoja wa watendaji alipata fursa ya kuhudhuria…

Continue Reading....

Kilichomkuta Diego Costa Huhitaji Kusimuliwa

Posted on: March 16, 2016March 16, 2016 - Yohana Chance
Kilichomkuta Diego Costa Huhitaji Kusimuliwa

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu baada yake kulishwa kadi nyekundu Jumamosi wakati wa mechi dhidi ya Everton. Mhispania huyo alifukuzwa…

Continue Reading....

Twiga Stars Kuondoka Ijumaa Kwenda Kuwavaa Wazimbabwe

Posted on: March 16, 2016 - Yohana Chance
Twiga Stars Kuondoka Ijumaa Kwenda Kuwavaa Wazimbabwe

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu “Twiga Stars” inatarajiwa kusafiri siku ya Ijumaa kuelekea nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wake wa…

Continue Reading....

Wenger Awatoa Hofu Mashabiki Kuhusu Mchezo wa Leo Dhidi ya Barcelona

Posted on: March 16, 2016March 16, 2016 - Yohana Chance
Wenger Awatoa Hofu Mashabiki Kuhusu Mchezo wa Leo Dhidi ya Barcelona

Meneja wa Klabu ya Arsena Mzee Arsene Wenger amesema kuwa aliwaacha mastaa wake wengi wa Kikosi cha kwanza Jumapili, Wakati timu hiyo ilipocheza na dhidi…

Continue Reading....

Ligi Kuu ya Vodacom Kuendelea Leo

Posted on: March 16, 2016 - Yohana Chance
Ligi Kuu ya Vodacom Kuendelea Leo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa mchezo mmoja, ambapo Azam FC watawakaribisha Stand United katika uwanja wa Azam Complex Chamazi.…

Continue Reading....

Manchester City, Atletico Zatinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

Posted on: March 16, 2016 - Yohana Chance
Manchester City, Atletico Zatinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

Jana usiku ligi ya Mabingwa ulaya iliendelea kwa micheozo miwili kupigwa ambapo Manchester City walikuwa wakicheza na Dynamo Kiev, mchezo wa marudiano hatua ya 16…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari