Klabu ya Simba imemvua umakamu nahodha beki wake wa kati Hassan Isihaka kutokana na kitendo chake cha utovu wa nidhamu kwa kocha wa klabu hiyo…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Usingizi Wamponza Nicklas Bendtner Apigwa Faini
Mshambuliaji wa Wolfsburg Nicklas Bendtner amepigwa faini baada ya kuchelewa kufika mazoezini kwa sababu ya usingizi. Bendtner, ambaye aliwahi kuichezea Arsenal ya Uingereza, alichelewa kwa…
Continue Reading....Azam Fc Mdogo Mdogo Kulifuta Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam FC imeutumia vyema mchezo wake wa kiporo kwa kuichapa Stand United ya Shinyanga kwa bao 1-0 kwenye mchezo pekee wa ligi uliosukumwa kwenye uwanjawa…
Continue Reading....Vita Juu ya Vita Ndani ya Old Traffod Europa Ligi
Ndani ya uwanja wa Old Trafford leo ni marudiano ya Mahasimu wakubwa wa Soka la England ambapo Man United wanatakiwa waifunge Liverpool 3-0 ili wasonge…
Continue Reading....Barcelona Waifanya Arsenal Academy Yao Kila Mwaka
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anaamini vijana wake walicheza vizuri uwanjani Nou Camp licha ya kulazwa 3-1 na Barcelona Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Arsenal…
Continue Reading....Bayern Yapenya Robo Fainali UEFA Kwa Ushindi wa Usiku
Klabu ya Bayern Munich imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Juventus ya Italia. Mabao ya Bayern yamefungwa na Lewandowski, Thomas Muller, Thiago Alcantara…
Continue Reading....