Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 103

Category: Michezo na Burudani

Kicheko Chatawala Mtaa wa Chamanzi Baada ya Azam Kupata Ushindi

Posted on: March 21, 2016 - Yohana Chance
Kicheko Chatawala Mtaa wa Chamanzi Baada ya Azam Kupata Ushindi

Timu ya Azam FC imefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika bada ya kuwachapa Bidvest FC kwa jumla ya mabao 7-3 Katika…

Continue Reading....

Manchester City YAakubali Yaishe Kuhusu Kulinyakua Kombe Msimu Huu

Posted on: March 21, 2016 - Yohana Chance
Manchester City YAakubali Yaishe Kuhusu Kulinyakua Kombe Msimu Huu

Klabu ya Manchester United imeshinda debi ya Manchester iliyochezewa katika uwanja wa Etihad kwa kulaza mahasimu wao City 1-0. Bao pekee lilifungwa na chipukizi Marcus…

Continue Reading....

Stars Yawasili Chad Kwa Makundi Makundi

Posted on: March 21, 2016 - Yohana Chance
Stars Yawasili Chad Kwa Makundi Makundi

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kundi la kwanza limewasili salama jijini D’jamena nchini Chad…

Continue Reading....

Kashfa Yazidi ya Madawa Kuandama Idara ya Michezo Duniani

Posted on: March 19, 2016March 19, 2016 - Yohana Chance
Kashfa Yazidi ya Madawa Kuandama Idara ya Michezo Duniani

Wanamichezo na mamilioni ya mashabiki wa michezo kote duniani wanataka majibu kuhusiana na msururu wa kashfa za matumizi ya dawa za kuongeza misuli nguvu iliyoukumba…

Continue Reading....

Yanga Yanukia Mikononi Mwa Waarabu Ligi ya Mabingwa

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yanukia Mikononi Mwa Waarabu Ligi ya Mabingwa

YANGA SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kuitoa APR ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-2. Yanga…

Continue Reading....

Coastal Union Wachungulia Mstari wa Hatari Baada ya Kichapo

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Coastal Union Wachungulia Mstari wa Hatari Baada ya Kichapo

SIMBA SC imepaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa pointi saba zaidi ya wapinzani Azam na Yanga katika mbio za ubingwa, kufuatia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari