Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 101

Category: Michezo na Burudani

Taifa Stars Kulejea Leo, Baada ya Kuilaza Chad

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Taifa Stars Kulejea Leo, Baada ya Kuilaza Chad

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kinatarajiwa kuwasili leo saa 8 usiku katika uwanja wa…

Continue Reading....

The Black Stars Kibaruani Leo Dhidi ya Mambas

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
The Black Stars Kibaruani Leo Dhidi ya Mambas

Michezo ya kusaka tiketi ya kushiki michuano ya kombe la mataifa ya afrikamwaka 2017 itayofanyika Gabon itaendelea tena leo Katika kundi A timu ya taifa…

Continue Reading....

Yanga Kuanza Maandalizi Mapema ya Kuwavaa Waarabu

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kuanza Maandalizi Mapema ya Kuwavaa Waarabu

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm, amesema atahakikisha wanafanya maandalizi mazuri kuweza kuikabili timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo…

Continue Reading....

Rais wa FIFA Infantino Kufanya Mkutano na Rais wa Sudan

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Rais wa FIFA Infantino Kufanya Mkutano na Rais wa Sudan

Rais mpya wa FIFA Gianni Infantino amefungua afisi ya shirikisho la kandanda la Sudan Kusini katika safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu achaguliwe rais…

Continue Reading....

Samatta Aipaisha Stars Ugenini Wakicheza na Chad

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
Samatta Aipaisha Stars Ugenini Wakicheza na Chad

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imeibuka na ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya wenyeji…

Continue Reading....

FIFA Yaongeza Kikosi, Franz Beckenbauer Achaguliwa kuwa……….

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
FIFA Yaongeza Kikosi, Franz Beckenbauer Achaguliwa kuwa……….

Aliyekuwa Nahodha na kisha kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la dunia Franz Beckenbauer ametajwa katika orodha ya watuhumiwa 6 wanaoshukiwa kutoa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari