Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 407

Category: Trending

Hatari: Homa ya Nguruwe Yaibuka Mwanza

Posted on: December 12, 2015December 12, 2015 - jomushi
Hatari: Homa ya Nguruwe Yaibuka Mwanza

KUMETOKEA mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Nguruwe (African Swine Fever) Wilaya ya Nyamagana, Kata za Mabatini, Mirongo kishiri na Buhongwa na Igoma. Mlipuko huu…

Continue Reading....

Droo Michuano ya Euro Kupangwa Leo Mjini Paris.

Posted on: December 12, 2015 - Yohana Chance
Droo Michuano ya Euro Kupangwa Leo Mjini Paris.

Droo ya makundi ya michuano ya Euro 2016 inatarajia kufanyika leo nchini Ufaransa katika jiji la Paris, Timu 24 zilizoingiaa katika michuano watakuwa wakisubili hatma…

Continue Reading....

Toure Ashinda Tuzo ya BBC ya Mwanasoka Bora wa Afrika.

Posted on: December 12, 2015 - Yohana Chance
Toure Ashinda Tuzo ya BBC ya Mwanasoka Bora wa Afrika.

Yaya Toure Raia wa Ivory Coast ameshinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2015, baada ya kuwashinda Yacine Brahimi, Pierre-Emerick Aubameyang,…

Continue Reading....

Viongozi wa Dini Dodoma Wamuombea Dk Magufuli…!

Posted on: December 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Viongozi wa Dini
Viongozi wa Dini Dodoma Wamuombea Dk Magufuli…!

 Viongozi wa Makanisa mbalimbali ya mkoani Dodoma wakiwa wameshika picha za Rais Dk. John Magufuli, Waziri Mkuu, Majaliwa Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais Samia…

Continue Reading....

Madiwani Dar na Mwanza Waapishwa, Uchaguzi Wavurugika…!

Posted on: December 12, 2015 - jomushi
Madiwani Dar na Mwanza Waapishwa, Uchaguzi Wavurugika…!

Baadhi ya Madiwani kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama Wilaya ya Ilala Mhe: Adelf Sachore (hayupo…

Continue Reading....

Wimbo Mpya Wa Diamond Platnumz – Utanipenda

Posted on: December 11, 2015 - admin
Post Tags: Diamond Platnumz, Diamond Platnumz - Utanipenda
Wimbo Mpya Wa Diamond  Platnumz – Utanipenda

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa mwanamziki mashuhuri Tanzania Diamond Platnumz

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari