Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 379

Category: Trending

Wasanii Watakao Wania Tuzo ya Oscar Wapatikana

Posted on: January 16, 2016 - Yohana Chance
Wasanii Watakao Wania Tuzo ya Oscar Wapatikana

Waigizaji na waelekezi wa filamu watakaopigania tuzo kuu za sanaa duniani za Oscar wametangazwa na kwa mwaka wa pili hakuna watu weusi walioteuliwa. Filamu ya…

Continue Reading....

Helikopta za Kijeshi Marekani Zagongana

Posted on: January 16, 2016 - jomushi
Helikopta za Kijeshi Marekani Zagongana

INARIPOTIWA kuwa ndege mbili za wanajeshi wa Marekani aina ya helikopta zimegongana karibu na kisiwa cha Hawaii cha Oahu huku zikiwa na abiria sita. Mkuu…

Continue Reading....

Mahakama Burundi Yawafunga Maisha ‘Waliompinduwa’ Nkurunziza

Posted on: January 16, 2016January 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Burundi
Mahakama Burundi Yawafunga Maisha ‘Waliompinduwa’ Nkurunziza

MAHAKAMA nchini Burundi imewahukumu kifungo cha maisha majenerali wa jeshi walioongoza mapinduzi dhidi ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine…

Continue Reading....

MAJALIWA:Tujikite Kuimarisha Miundombinu ili Tukuze Uchumi

Posted on: January 15, 2016 - jomushi
MAJALIWA:Tujikite Kuimarisha Miundombinu ili Tukuze Uchumi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka watanzania kujikita katika kuimarisha miundombinu ili kukuza uchumi, kuimarika kwa miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa shughuli mbalimbali mfano kilimo…

Continue Reading....

Waziri Mkuu: Shirikianeni na Wawekezaji wa Nje

Posted on: January 15, 2016 - jomushi
Waziri Mkuu: Shirikianeni na Wawekezaji wa Nje

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka wadau wa Sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kushirikiana na wakezaji kutoka nchini Japan…

Continue Reading....

Saratani Yasababisha Kifo Cha Mume wa Celine Dion

Posted on: January 15, 2016 - Yohana Chance
Saratani Yasababisha Kifo Cha Mume wa Celine Dion

Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza. Bw Angelil, aliyemuoa Dion mwaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari