Mwili huo ukiingizwa kwenye gari maalumu katika uwanja huo. Ndugu jamaa na marafiki wakijadiliana jambo wakati wa kuupokea mwili huo. Ndugu, jamaa, marafiki na watoto…
Continue Reading....Category: Trending
Serikali Kufungua Viwanda vya Ngozi Dar, Geita na Shinyanga – Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kufungua viwanda vya kusindika ngozi kwenye mikoa ya Shinyanga, Geita na Dar es Salaam ili kutoa soko kwa…
Continue Reading....Wananchi Watakiwa Kujitokeza Kuliombea Taifa
Na Beatrice Lyimo- Maelezo Mwenyekiti wa Good News for All Ministry, Askofu Charles Gadi ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kumuomba Mungu dhidi ya hali ya…
Continue Reading....Polisi Njombe Yaagizwa Kusimamia Pesa za Maendeleo ya Elimu
Polisi Mkoa wa Njombe imeagizwa kuwa sehemu ya usimamizi wa fedha zilizo tolewa na serikali kwa ajili ya maendeleo ya elimu Mkoa wa Njombe ili…
Continue Reading....Mke Wa Will Smith Apinga Ubaguzi Wa Rangi Tuzo za Oscar
Jada Pinket mkewe nyota wa filamu Will Smith amesema hatashiriki katika tuzo za Oscar, Nyota huyo aliandika katika mtandao wake wa Tweeter mwishoni mwa wiki…
Continue Reading....Mashetani wa Jiji la Manchester Wafufukia Anfield
Wayne Rooney alifunga bao lake la kwanza katika uwanja wa Anfield tangu mwaka 2005 na kuiwezesha timu yake kupanda katika msimamo wa ligi kuu ya…
Continue Reading....