Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 372

Category: Trending

Aenda Jela Miaka 5 kwa Wizi wa Mbuzi

Posted on: January 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Wizi
Aenda Jela Miaka 5 kwa Wizi wa Mbuzi

Na Ezekiel Kamanga,Mbozi MAHAKAMA ya Mwanzo Vwawa Mjini wilayani Mbozi mkoani Mbeya imemuhukumu Patrick Moses(19) mkazi wa Ilembo kutumikia jela miaka mitano baada ya kukiri…

Continue Reading....

Bundi Aendelea ‘Kuitafuna’ Miss Tanzania, Kamati Yajitoa…!

Posted on: January 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Miss Tanzania
Bundi Aendelea ‘Kuitafuna’ Miss Tanzania, Kamati Yajitoa…!

KAMATI ya kuratibu Miss Tanzania imejitoa rasmi kusimamia mashindano ya Miss Tanzania kuanzia leo tarehe 21/01/2016. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Juma Pinto alisema hayo leo,…

Continue Reading....

Wafanyakazi wa Mizani Watakiwa Kuonesha Uwazi, Uadilifu na Weledi

Posted on: January 22, 2016 - jomushi
Post Tags: TANROADS
Wafanyakazi wa Mizani Watakiwa Kuonesha Uwazi, Uadilifu na Weledi

WAFANYAKAZI wa Mizani hapa nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uwazi, uadilifu, na weledi ili kuzingatia sheria zinazoongoza sekta hiyo na hivyo kutenda haki kwa wasafirishaji…

Continue Reading....

Rais Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli, Akiwasalimia Wananchi wa Arusha

Posted on: January 22, 2016January 22, 2016 - Yohana Chance
Rais Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli, Akiwasalimia Wananchi wa Arusha

Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli, Akiwasalimia Wananchi wa Arusha Mapema Leo alipokuwa akielekea Wilayani Monduli…

Continue Reading....

Kivumbi Ligi Kuu ya Uingereza,Arsenal Kumaliza Uteja kwa Chelsea

Posted on: January 22, 2016 - Yohana Chance
Kivumbi Ligi Kuu ya Uingereza,Arsenal Kumaliza Uteja kwa Chelsea

Ligi kuu ya soka ya England inatarajiwa kuendelea tena mwishoni mwa wiki hii kwa michezo kumi baada ya mapumziko kupisha Mechi za FA. kesho jumamosi…

Continue Reading....

Yanga Sc Sasa Hii Sifa, Yarudi Kileleni Ikipiga 5-0 Taifa

Posted on: January 22, 2016 - Yohana Chance
Yanga Sc Sasa Hii Sifa, Yarudi Kileleni Ikipiga 5-0 Taifa

Klabu ya Yanga Imefanikiwa kurejea Keleleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya ajana kuiibuka na ushindi wa bao 5-0 dhii ya wanalizombe timu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari