Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 352

Category: Trending

Wazazi Kisarawe Wafunguka Kuhusu Adhabu kwa Watoto

Posted on: February 11, 2016 - jomushi
Post Tags: Adhabu
Wazazi Kisarawe Wafunguka Kuhusu Adhabu kwa Watoto

 Joseph Olowa akiiomba kampuni ya True Vision kusaidia kuelimisha watu wenye lugha za matusi hadharani  hivi karibuni wakati wa mdahalo maalum kuhusu adhabu kwa watoto ulioandaliwa…

Continue Reading....

Benki ya Dunia, Serikali Kukarabati Mitaro Temeke

Posted on: February 10, 2016 - jomushi
Post Tags: Miundombinu
Benki ya Dunia, Serikali Kukarabati Mitaro Temeke

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO SERIKALI kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inategemea kuanza ukarabati wa Miundombinu mibovu hususani ya mitaro inayosababisha maafa wilayani Temeke…

Continue Reading....

Serikali ya Rais Magufuli na Dhamira ya Kujenga Uchumi wa Viwanda

Posted on: February 10, 2016 - jomushi
Post Tags: Uchumi wa Viwanda
Serikali ya Rais Magufuli na Dhamira ya Kujenga Uchumi wa Viwanda

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO SERIKALI imesema dhamira yake ya kujenga uchumi wa viwanda nchini imejengwa kupitia maeneo ya vipaumbele ambayo yataanza kutekelezwa katika bajeti…

Continue Reading....

Mtanzania Auwawa Nchini Kenya, Kamari Yamponza

Posted on: February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: Kamari
Mtanzania Auwawa Nchini Kenya, Kamari Yamponza

RAIA wa Tanzania ameuawa na umati mjini Nairobi baada ya yeye kudaiwa kuwashambulia na kuwaua watu wawili katika kasino. Watu walioshuhudia tukio hilo walisema mwanamume…

Continue Reading....

Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni

Posted on: February 9, 2016February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: barabara
Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa barabara za mzunguko (ring roads) zenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katikati…

Continue Reading....

Tigo Yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano na Michezo kwa Wanahabari

Posted on: February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: wanahabari
Tigo Yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano na Michezo kwa Wanahabari

  Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha (Kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali vifaa vya mawasiliano na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni nane kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) Habel Chidawali, ili kufanikisha bonanza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari