Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 336

Category: Trending

Uchaguzi Mkuu FIFA Kufanyika Kesho, Infantino Ajitangaza Kuwa Rais Mpya

Posted on: February 25, 2016February 25, 2016 - Yohana Chance
Uchaguzi Mkuu FIFA Kufanyika Kesho, Infantino Ajitangaza Kuwa Rais Mpya

Mgombea urais wa Shirikisho la Soka Duniani-FIFA, Gianni Infantino ana uhakika kuwa atakusanya kura nyingi kutoka mataifa ya Afrika katika uchaguzi Ijumaa hii. Infantino alifanya…

Continue Reading....

Rufaa ya FIFA dhidi ya Blatter na Platin Yatupiliwa Mbali

Posted on: February 25, 2016 - Yohana Chance
Rufaa ya FIFA dhidi ya Blatter na Platin Yatupiliwa Mbali

Rufaa iliyowasilishwa kwa kamati ya nidhamu ya FIFA na aliyekuwa rais wa shirikisho la Soka Duniani FIFA Sepp Blatter na rais wa UEFA Michel Platini…

Continue Reading....

Mpinzani wa Museven, Besigye Aeleza Alivyovyanyaswa na Polisi

Posted on: February 25, 2016February 25, 2016 - jomushi
Post Tags: uganda
Mpinzani wa Museven, Besigye Aeleza Alivyovyanyaswa na Polisi

KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda Kiiza Besigye ameliambia shirika moja la habari Kuwa alitiwa mbaroni na polisi nchini humo mara nne kwa muda wa siku…

Continue Reading....

Polisi Kilimanjaro Wakamata Bunduki Chooni…!

Posted on: February 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Polisi na Bunduki
Polisi Kilimanjaro Wakamata Bunduki Chooni…!

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Ramadhani Mungi akizungumza na wanahabari kuhusiana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika mkoa wa Kilimanjaro hivi karibuni.   JESHI la…

Continue Reading....

Chama cha Bodaboda Liwale Chakopesha Pikipiki 62 kwa ‘Bodaboda’

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Post Tags: bodaboda
Chama cha Bodaboda Liwale Chakopesha Pikipiki 62 kwa ‘Bodaboda’

Mgeni rasmi akikabidhi pikipiki kwa mwanacha hii leo maeneo ya ofisi za chama cha bodaboda. Afisa maendeleo ya jamii wilayani Liwale bibi Mary Ding’ohi akifafanua…

Continue Reading....

Prof. Mbarawa Amteuwa Johari Kuwa Mkurugenzi Mkuu TCAA

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Post Tags: Mkurugenzi Mkuu TCAA
Prof. Mbarawa Amteuwa Johari Kuwa Mkurugenzi Mkuu TCAA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteuwa Bw. Hamza Said Johari kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari