Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata akiongea na wageni waalikwa na wanahabari wakati wa hafla ya uzinduzi wa intaneti yenye kasi ya…
Continue Reading....Category: Trending
Waziri Nape Avitaka Vyombo vya Habari vya Serikali Kufichua Maovu.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye amewaasa wafanyakazi wa kampuni ya magazeti ya serikali ya Habari Leo,Daily News,SpotiLeo na Sunday News kuwa mstari wa…
Continue Reading....Rais Magufuli Awasili Arusha Kuongoza Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Mshariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda mara baada ya…
Continue Reading....IGP Mangu Afanya Mabadiliko kwa Baadhi ya Makamanda wa Polisi
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu amefanya Mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa na vikosi hapa nchini. Mabadiliko hayo…
Continue Reading....Ofisa Uhusiano TTCL Afariki Dunia
OFISA Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bi. Amanda Fredrick Luhanga, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia Jumamosi Februari 27, 2016. Taarifa ya kifo…
Continue Reading....Chelsea Yapeta Ligi Kuu Uingereza Yaisambaratisha Southamptom 2-1
Timu ya Chelsea Imefanikiwa kupata ushindi wa Mabao 2-1 katika mwendelezo wa ligi kuu ya Uingereza, baada ya kutoka nyuma kwa bao la mapema la…
Continue Reading....