Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 325

Category: Trending

MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Morogoro
MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kuujulisha umma kuwa kivuko cha MV Kilombero II ambacho kilizama tarehe 27 Januari 2016, na kusababisha kusimama kwa…

Continue Reading....

Simba Sc Kuwavaa Wagosi wa Kaya Coastal Union Robo Fainali FA CUP

Posted on: March 4, 2016 - Yohana Chance
Simba Sc Kuwavaa Wagosi wa Kaya Coastal Union Robo Fainali FA CUP

Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane…

Continue Reading....

Rais wa Vietnam‎, Tan Sang Kutembelea Tanzania Machi 9

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Vietnam
Rais wa Vietnam‎, Tan Sang Kutembelea Tanzania Machi 9

RAIS wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mheshimiwa Truong Tan Sang anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini tarehe 9 Machi 2016. Madhumuni ya ziara hiyo ni…

Continue Reading....

Petr Cech Kukosekana Kesho Arsenal Watakapoivaa Spurs

Posted on: March 4, 2016March 4, 2016 - Yohana Chance
Petr Cech Kukosekana Kesho Arsenal Watakapoivaa Spurs

Klabu ya Arsenal watamkosa golikipa namba moja wao Petr Cech katika mechi kali dhidi ya mahasimu wao wa London Tottenham Hotspur uwanjani White Hart Lane…

Continue Reading....

Mitt Romney Amwita Mgombea Trump ‘Tapeli’

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Marekani
Mitt Romney Amwita Mgombea Trump ‘Tapeli’

ALIYEKUWA mgombea wa urais kupitia Chama cha Republican nchini Marekani, Mitt Romney ameibuka na kukitaka chama chake kutomteuwa Donald Trump huku akimtaja mgombea huyo aliyeshinda…

Continue Reading....

Kikos cha Twiga Stars Kimeiva, Kuivaa Zimbabwe Leo

Posted on: March 4, 2016March 4, 2016 - Yohana Chance
Kikos cha Twiga Stars Kimeiva, Kuivaa Zimbabwe Leo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), jana kimefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya Taifa ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari