Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 319

Category: Trending

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Azindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2016.

Posted on: March 9, 2016 - jomushi
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara  Azindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2016.

Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika la kimataifa la OXFAM limezinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mh Halima Dendegu na…

Continue Reading....

Prof. Mbarawa Azitaka Taasisi Kukitumia Kituo cha Kuhifadhi Taarifa

Posted on: March 9, 2016 - jomushi
Post Tags: Data Centre
Prof. Mbarawa Azitaka Taasisi Kukitumia Kituo cha Kuhifadhi Taarifa

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amezitaka taasisi za Serikali na binafsi kukitumia kituo cha kisasa cha kuhifadhi taarifa (data centre) kutunza…

Continue Reading....

Mdau Monica Joseph Awapa Changamoto Akinamama Siku ya Wanawake Duniani

Posted on: March 9, 2016March 9, 2016 - jomushi
Post Tags: Women’s Day
Mdau Monica Joseph Awapa Changamoto Akinamama Siku ya Wanawake Duniani

NINGEPENDA kutumia fursa hii kama dada, mke, na mdau Monica Joseph Awapa Changamoto Akinamama Siku ya Wanawake Dunianima, mfanyakazi, Mwanaharakati na mjasiliamali kuwapongeza wanawake wote…

Continue Reading....

Tanzania na Japan Kuanzisha Ushirikiano Katika Matumizi ya TEHAMA

Posted on: March 8, 2016 - Yohana Chance
Tanzania na Japan Kuanzisha Ushirikiano Katika Matumizi ya TEHAMA

Na. Aron Msigwa – MAELEZO Tanzania na Japan zinatarajia kuanzisha ushirikiano katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa kuwaunganisha wafanyabishara na vijana…

Continue Reading....

Maonesho ya Madini na Vito Kufanyika Mererani…!

Posted on: March 8, 2016 - jomushi
Post Tags: Madini, Maonesho
Maonesho ya Madini na Vito Kufanyika Mererani…!

  Na Woinde Shizza, Arusha   WACHIMBAJI wa madini ya vito nchini wametakiwa kushiriki katika maonyesho ya wachimbaji wadogo wa madini ili kuweza kutumia fursa hiyo…

Continue Reading....

Yanga Mwendo Mdundo VPL Yachinja Mtu Taifa 5-0

Posted on: March 8, 2016March 8, 2016 - Yohana Chance
Yanga Mwendo Mdundo VPL Yachinja Mtu Taifa 5-0

Habari na bioplus.blogspot.com MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo wamefanikiwa kurejea kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom na kuwashusha mahasimu wao Simba hadi nafasi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari