Mwanamuziki kutoka Marekani maarufu kwa muziki wa chapa Funk, Prince ameaga dunia. Mwanamuziki huyo raia wa Marekani alipatikana ameaga dunia katika makazi yake ya huko…
Continue Reading....Category: Trending
Rais Magufuli Azungumza na Viongozi wa CCM Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti, Makatibu wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara…
Continue Reading....Yanga Yatupwa Angola Kombe la Shirikisho
Katika droo iliyofanyika leo makao mkuu ya CAF Klabu YANGA SC imepangwa ba na Sagrada Esperanca ya Angola kuwania kuingia kwenye makundi ya Kombe la…
Continue Reading....Waziri Mkuu Majaliwa Ashiriki Mazishi ya Askofu Isuja
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mathias Isuja katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la…
Continue Reading....Barcelona Hii Sasa Sifa, Yaangusha Mvua ya Mgoli
Klabu ya soka ya Barcelona imepata ushindi wa kishindo kwa kuichapa Deportivo La Coruna mabao 8-0. Mshambuliji wa Luis Suarez akianza kufunga bao la kwanza…
Continue Reading....Matokeo, Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Soma Hapa
Ligi kuu England imeendelea kwa michezo mitatu kupigwa huku timu za West Ham, Liverpool,Man United wakishinda michezo yao. Wagonga nyundo wa West Ham wameibuka na…
Continue Reading....