Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 259

Category: Trending

Naibu Waziri Kazi, Vijana na Ajira, Atembelea Kambi Tiba ya GSM Dodoma

Posted on: May 10, 2016 - jomushi
Naibu Waziri Kazi, Vijana na Ajira, Atembelea Kambi Tiba ya GSM Dodoma

Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde amefanya ziara ya kushtukiza katika kambi tiba ya…

Continue Reading....

Mgodi wa Bulhanhlu Waingia Makubaliano na Taasisi ya Benjamini Mkapa Kuboresha Huduma Mama na Mtoto Shinyanga

Posted on: May 10, 2016 - jomushi
Mgodi wa Bulhanhlu Waingia Makubaliano na Taasisi ya Benjamini Mkapa Kuboresha Huduma  Mama na Mtoto Shinyanga

Na Dixon Busagaga MGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu ulioko wilayani Kahama umetiliana saini hatii ya makubaliano ya Dola 200,000 sawa na shilingi Milioni 440 za…

Continue Reading....

PSPF Yatoa Msaada Vifaa vya Shule kwa Wanafunzi Waishio Mazingira Magumu

Posted on: May 10, 2016 - jomushi
PSPF Yatoa Msaada Vifaa vya Shule  kwa Wanafunzi Waishio Mazingira Magumu

Afisa Uhusiano wa PSPF, Bibi Coleta Mnyamani akiwaelimisha wanafunzi wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyoko mkoani Geita kuhusiana na Mfuko wa Penseheni wa PSPF na lengo la…

Continue Reading....

DAWASCO Kugharamia Uunganishaji Maji kwa Wateja Wapya

Posted on: May 10, 2016 - jomushi
DAWASCO Kugharamia Uunganishaji Maji kwa Wateja Wapya

Katika kutekeleza agizo la serikali la kuwafikia wateja laki 4 (400,000) ifikapo June 2016 ,Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) ,linaendelea…

Continue Reading....

Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam Vs Yanga Yaendelea Kukamilika

Posted on: May 10, 2016 - Yohana Chance
Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam Vs Yanga Yaendelea Kukamilika

Fainali za kuwania Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) sasa zitafanyika Juni 11, 2016. Mchezo huo wa…

Continue Reading....

Platini Yamemfika Pabaya, Sasa Kuachia Ngazi

Posted on: May 10, 2016 - Yohana Chance
Platini Yamemfika Pabaya, Sasa Kuachia Ngazi

Michel Platini atajiuzulu kuwa rais wa shirikisho la kandanda barani Ulaya – UEFA baada ya mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya michezo kukubali aendelee na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari