Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 225

Category: Trending

Enyimba Yaambulia Kichapo Kama Yanga

Posted on: June 30, 2016 - Yohana Chance
Enyimba Yaambulia Kichapo Kama Yanga

Klabu ya soka ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeichabanga Enyimba ya Nigeria mabao 2-1 mjini Pretoria katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika…

Continue Reading....

Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii Lavuta Wengi Sabasaba

Posted on: June 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Banda la NSSF
Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii Lavuta Wengi Sabasaba

 Tuzo ilizopata NSSF katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa.     Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.  Ofisa Masoko Mwandamizi,…

Continue Reading....

Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa Wapya

Posted on: June 29, 2016June 30, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa Wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Zainab Telack kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es Salaam…

Continue Reading....

Arsene Wenger Kumlithi Hodgson Uingereza

Posted on: June 29, 2016 - Yohana Chance
Arsene Wenger Kumlithi Hodgson Uingereza

Mtendaji mkuu wa FA Martin Glenn,amesema kuwa kupatikana kwa kocha mpya kunaweza kuchukua miezi kadhaa,huku pia akimtaja meneja wa Arsenal,Arsene Wenger ambaye anaingia katika mwaka…

Continue Reading....

Wateja NMB Sasa Kupata Huduma za Vifurushi vya Star Times…!

Posted on: June 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
Wateja NMB Sasa Kupata Huduma za Vifurushi vya Star Times…!

BENKI ya NMB Tanzania imeingia makubaliano ya kibiashara na kampuni ya Star Times ambapo kwa sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye…

Continue Reading....

RC Makonda Atembelea Banda la UN Maonyesho ya Sabasaba

Posted on: June 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Dunia-UN
RC Makonda Atembelea Banda la UN Maonyesho ya Sabasaba

KATIKA kuelekea kilele cha Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametembelea banda la Umoja wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari