Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 219

Category: Trending

Cristiano Ronaldo Akatisha Ndoto za Wales

Posted on: July 7, 2016 - Yohana Chance
Cristiano Ronaldo Akatisha Ndoto za Wales

Ureno imekuwa nchi ya kwanza kuingia fainali ya michuano ya Euro baada ya kuzima ndoto za Wales kwa kuichapa magoli 2 – 0 katika mechi…

Continue Reading....

Udanganyifu Wampeleka Jela Lionel Messi

Posted on: July 6, 2016 - Yohana Chance
Udanganyifu Wampeleka Jela Lionel Messi

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji…

Continue Reading....

Amos Makalla Atembelea Pandahill Patakapochimbwa Madini ya Niobium

Posted on: July 6, 2016 - jomushi
Amos Makalla Atembelea Pandahill Patakapochimbwa Madini ya Niobium

Na Mwandishi wetu,Mbeya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla ametembelea eneo la Pandahill kata ya Songwe mahali ambapo patachimbwa madini aina ya Niobium ambayo…

Continue Reading....

Swala ya Ed-El-Fitr Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es salaam

Posted on: July 6, 2016 - jomushi
Swala ya Ed-El-Fitr Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es salaam

Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala hiyo.   Mratibu wa swala hiyo ya Ed El-Fitr, Sheikh Othman Abdallah Dishi (kulia), akizungumza katika swala…

Continue Reading....

PBZ Yakabidhi Msaada kwa Watoto yatima Zanzibar

Posted on: July 6, 2016 - jomushi
PBZ Yakabidhi Msaada kwa Watoto yatima Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir akisalimiana na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar alipowasili kwa ajili ya kukabidhi misaada ya Vyakula kwa…

Continue Reading....

Walemavu Walia na Upungufu wa Walimu

Posted on: July 6, 2016 - Yohana Chance
Walemavu Walia na Upungufu wa Walimu

Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya msingi Patandi iliyopo wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wamelalamikia tatizo la upungufu wa walimu,vitabu na vifaa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari