Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 188

Category: Trending

Leicester City Waanza Ligi Kuu Uingereza Kwa Kichapo

Posted on: August 13, 2016 - Yohana Chance
Leicester City Waanza Ligi Kuu Uingereza Kwa Kichapo

Mabingwa watetezi wa Ligi ya England Leicester City wameanza msimu wa 2016/17 kwa kuchapwa ugenini na Hull City. Leicester wamechapwa 2-1, mabao ya Hull yakifungwa…

Continue Reading....

Yanga Yaleta Matumaini kwa Kuifumua Mo Bejaia Taifa

Posted on: August 13, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yaleta Matumaini kwa Kuifumua Mo Bejaia Taifa

YANGA SC imefufua matumaini ya kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kufuatia ushindi wa 1-0 jioni ya leo dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia…

Continue Reading....

Mzee Yusuf ‘Aokoka’ Atangaza Kuacha Taarab…!

Posted on: August 12, 2016 - jomushi
Post Tags: Mzee Yusuf
Mzee Yusuf ‘Aokoka’ Atangaza Kuacha Taarab…!

MFALME wa muziki wa taarab, Mzee Yusuf ametangaza kuachana rasmi na muziki huo na kuamua kumrudia mwenyezi Mungu. Mzee Yusuf ametoa kauli hiyo leo Ijumaa…

Continue Reading....

Dk Magufuli Awasili Dar es salaam

Posted on: August 12, 2016 - jomushi
Dk Magufuli Awasili Dar es salaam

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipungia wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…

Continue Reading....

Profesa Baregu Aongoza Kongamano la Vijana wa CHADEMA Karimjee

Posted on: August 12, 2016 - jomushi
Profesa Baregu Aongoza Kongamano la Vijana wa CHADEMA Karimjee

 Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila akichangia mambo mbalimbali.  Meza kuu katika kongamano hilo.  Mada zikiendelea kutolewa.  Wanahabari wakichukua taarifa mbalimbali. Usikivu ukiwa umetawala…

Continue Reading....

Tupo Tayari Kuwahudumia Wanaohamia Dodoma – TTCL

Posted on: August 12, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Tupo Tayari Kuwahudumia Wanaohamia Dodoma – TTCL

            Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema ipo tayari kutoa huduma za Mawasiliano za kisasa kwa Taasisi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari