Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 180

Category: Trending

Serikali Kuanzisha Utendaji wa Mikataba kwa Watumishi Wake

Posted on: August 29, 2016 - jomushi
Serikali Kuanzisha Utendaji wa Mikataba kwa Watumishi Wake

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO – Dar es Salaam Serikali imejipanga kuanzisha mikataba ya utendaji kazi kwa Taasisi za Umma katika mwaka ujao wa fedha…

Continue Reading....

Msanii wa Nigeria Alhaji Akisaidia Kituo cha Yatima Kigamboni

Posted on: August 29, 2016 - jomushi
Msanii wa Nigeria Alhaji Akisaidia Kituo cha Yatima Kigamboni

    Na Sheila Simba, Maelezo MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria Omo Alhaji,Jagabana maarufu YCEE,ametoa msaada wa shillingi milioni 1,kwa kituo cha kulelea watoto…

Continue Reading....

Waziri Awataka Watumishi wa Umma Kutambua Haki Zao

Posted on: August 29, 2016 - jomushi
Waziri Awataka Watumishi wa Umma Kutambua Haki Zao

  Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki amewasisitiza watumishi…

Continue Reading....

Mechi ya Yanga na JKT Ruvu Yapigwa Kalenda

Posted on: August 29, 2016August 29, 2016 - Yohana Chance
Mechi ya Yanga na JKT Ruvu Yapigwa Kalenda

Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imethibitisha kuwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Young Africans…

Continue Reading....

Gyan Afurahia Kurudi tena Uingereza

Posted on: August 29, 2016 - Yohana Chance
Gyan Afurahia Kurudi tena Uingereza

Nahodha wa kikosi cha soka nchini Ghana Asamoah Gyan anatarajiwa kujiunga na klabu ya Reading kwa mkopo kutoka timu ya China Shanghai SIPG. Mchezaji huyo…

Continue Reading....

Marcus Rashford Aibeba Manchester United Dakika za Majeruhi

Posted on: August 27, 2016 - Yohana Chance
Marcus Rashford Aibeba Manchester United Dakika za Majeruhi

Mchezaji chipukiozi wa Manchester United Marcus Rashford ameiokoa timu yake kwa kuipatia bao pekee na la ushindi dakika ya 90 baada ya kupokea pasi safi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari