Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 90

Category: featured

Mwenyekiti wa ‘Chadema’ Kitongoji Aitabiria CCM Ushindi

Posted on: March 7, 2014 - jomushi
Mwenyekiti wa ‘Chadema’ Kitongoji Aitabiria CCM Ushindi

Na Bashir Nkoromo, Kalenga ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kitongoji cha Lupembelwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Ezekiel Kibiki, ambaye kwa…

Continue Reading....

Serikali Makete Yatoa Bati kwa Waathirika wa Maafa ya Kimbunga

Posted on: March 7, 2014March 7, 2014 - jomushi
Serikali Makete Yatoa Bati kwa Waathirika wa Maafa ya Kimbunga

Na Edwin Moshi, Makete HALMASHAURI ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na mfuko wa jimbo, umekabidhi msaada wa mabatia 180 kwa waathirika wa maafa ya…

Continue Reading....

Hatari; Mvua Kubwa Kunyesha Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na Zanzibar

Posted on: March 5, 2014April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Enter your zip code here
Hatari; Mvua Kubwa Kunyesha Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na Zanzibar

NAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza uwezekano wa kunyesha mvua kubwa zinazoweza kuleta maafa katika baadhi ya mikoa ya Ukanda wa Pwani. Kwa…

Continue Reading....

Nani Kuibuka Mshindi wa Tiketi ya Safari ya Braziri Wiki Hii?

Posted on: March 5, 2014 - jomushi
Nani Kuibuka Mshindi wa Tiketi ya Safari ya Braziri Wiki Hii?

*Tiketi ya kwanza kutolewa wiki hii KAMPUNI ya Bia ya Serengeti inatarajia kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti…

Continue Reading....

Walimu Wamshushia Kipigo Mwanafunzi, Alazwa Hospitalini Kisa Mchango wa Sherehe

Posted on: March 5, 2014 - jomushi
Walimu Wamshushia Kipigo Mwanafunzi, Alazwa Hospitalini Kisa Mchango wa Sherehe

Yohane Gervas, Rombo WALIMU wawili wa Shule ya Sekondari Ubaa iliyopo katika tarafa ya Mkuu Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wanatuhumiwa kumshambulia na kumjeruhi vibaya…

Continue Reading....

Mikataba ya Kimataifa Iwe Sheria Kamili – TGNP Mtandao

Posted on: March 5, 2014 - jomushi
Mikataba ya Kimataifa Iwe Sheria Kamili – TGNP Mtandao

WANAHARAKATI wa masuala ya haki na usawa wa Kijinsia nchini wamependekeza Bunge maalum la katiba kuhakikisha katiba mpya inaweka wazi kila mikataba ya kimataifa itakayoridhiwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari