WafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharawametakiwakuongezajuhudinaubunifukatikautendajiwakaziilikuiwezeshaWizarahiyokufikiamalengoyakeiliyojiwekea. WitohuoumetolewanaWaziriwaViwandanaBiasharaMhe.DktAbdallahKigoda, wakatiakifunguaMkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikakwasikumbiliJijini Dar Es Salaam. Dkt. Kigodaamesema, WizarayaViwandanaBiasharainajukumukubwakatikakuboreshaUchumiwaNchihivyowafanyakazihawanabudikufanyakazikwabidiinaubunifuilikuiwezeshaWizarakupatamatokeoyaliyokusudiwa. “Fanyenikazikwabidii, kwamaarifanaubunifumkubwa. Epukeniuzembe, ukiritimbausionasababuzamsinginazaidiyayote, tujitangazeiliUmmaufahamukikamilifujitihadazetukatikakukuzauchumi’’. AwaliakimkaribishaMhWaziri, KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussaamesema, UongoziwaWizarahiyoutaendeleakufanyajitihadazakuboreshamaslahiyawafanyakazi, mazingirayakufanyiakazinakuondoakerombalimbalimbalizinzowakwazawatumishi. Kwaupande wake MtoamadakatikaMkutanohuo Bi HonestaNgollykutokaambaeniAfisaElimuKazikutokaTumeyasUsuluhishinaUamuzi…
Continue Reading....Category: featured
Rais Kikwete Aanza Ziara Rasmi Uingereza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara…
Continue Reading....Ajali Yaua 21 nakujeruhi 11 Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amestushwa na kuhuzunishwa na ajali kubwa iliyotokea usiku wa jana, Jumamosi, Machi 29, 2014, katika…
Continue Reading....Anne Makinda Awataka Wanawake Kujenga Hoja na Kuzitetea
Na Magreth Kinabo –MAELEZO, Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Makinda ametoa changamoto kwa wajumbe wenzake wanawake walio kwenye Bunge hilo, kujenga hoja…
Continue Reading....Mama Tunu Pinda awaasa wanandoa
MKE WA WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda amewaeleza wanandoa kuwa ndoa ndiyo taasisi ya kwanza kuwafundisha watu maadili na kumjua Mungu pasipo Mungu haiwezekani. Amesema…
Continue Reading....