Janneth Emmanuel (kushoto), Cresenciah Herman (katikati) na Joshua Wambura Stanslaus ambao ndio washindi wa Shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa…
Continue Reading....Category: featured
Mahakama Yawatia Hatiani 3 kwa Mauaji ya Askari Polisi, Yawaachia Huru 9…!
Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru leo mchana katika kesi…
Continue Reading....Mkurugenzi Idara ya Habari Aviasa Vyombo vya Habari Ofisi za Jamhuri Dar
Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam VYOMBO vya habari nchini vimeshauriwa kutoa kipaumbele kwa habari zinazojenga jamii kwa kuihamasisha kushiriki katika miradi mbalimbali…
Continue Reading....Chadema Waupinga Ushindi wa Ridhiwani Kikwete Jimbo la Bagamoyo
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa tamko la awali la kupinga ushindi wa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, ambao ulimpa ushindi mgombea…
Continue Reading....Ijue Hati ya Makubaliano, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar…!
MKATABA WA MUUNGANO Baina ya JAMHURI YA TANGANYIKA Na JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR Kwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu…
Continue Reading....