Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 50

Category: featured

Ujumbe wa Leo!

Posted on: May 1, 2014May 1, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: bajaji, bodaboda, Dar, Ujumbe
Ujumbe wa Leo!

Tumegundua hizi jumbe za mjini Dar huwa zinajibishana kwasababu kuna ujumbe mmoja (kwenye Bodaboda) tuliweka hapa ulikuwa unasema “Usije Mjini” na huu wa leo kwenye…

Continue Reading....

Serikali: Hatuja Mkejeli Jaji Warioba Kumpa Tuzo ya Muungano

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, jaji warioba
Serikali: Hatuja Mkejeli Jaji Warioba Kumpa Tuzo ya Muungano

Na Magreth Kinabo, Maelezo MSEMAJI wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya…

Continue Reading....

Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini BAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na…

Continue Reading....

Mzee Auwawa Kikatili Wilayani Rombo

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Auwawa Kikatili, featured
Mzee Auwawa Kikatili Wilayani Rombo

MKAZI wa Kijiji cha Mahida Nguduni, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Dominick Kavishe (65) mkulima ameuwa kikatili kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali katika…

Continue Reading....

Vifo vya Watu 19 katika Ajali Singida Vyamgusa Rais Kikwete

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Basi, featured
Vifo vya Watu 19 katika Ajali Singida Vyamgusa Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Perseko Kone kufuatia vifo vya watu…

Continue Reading....

Halmashauri, Wadau wa Jiji Mwanza Waanza Maandalizi Siku ya Mtoto wa Afrika

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Siku ya Mtoto wa Afrika
Halmashauri, Wadau wa Jiji Mwanza Waanza Maandalizi Siku ya Mtoto wa Afrika

HALMASHAURI pamoja na wadau toka mashirika na taasisi za kutetea na kulinda haki za watoto jijini Mwanza wameanza rasmi vikao vya maandalizi ya kuadhimisha sherehe…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari