Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 40

Category: featured

BRN Yapongezwa kwa Kuwasaidia Wakulima Wadogo

Posted on: May 17, 2014 - jomushi
Post Tags: wakulima
BRN Yapongezwa kwa Kuwasaidia Wakulima Wadogo

Na Mwandishi Wetu MPANGO wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umepongezwa kwa kuweka katika moja ya sekta zake za kipaumbele, miradi ya kilimo inayolenga kuwasaidia wakulima…

Continue Reading....

Ajali ya Malori Yafunga Barabara ya Mandela…!

Posted on: May 16, 2014May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Malori Dar, featured
Ajali ya Malori Yafunga Barabara ya Mandela…!

Ajali ya malori ya mizigo imefunga barabara ya Mandela kwa muda. Ajali hiyo ilitokea jana jijini Dar es Salaam karibu na eneo la Tabata Dampo.…

Continue Reading....

Werema Alikoroga, Alinywa: Atoa Kauli ya Kuwabagua Wazanzibari

Posted on: May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Jaji Werema
Werema Alikoroga, Alinywa: Atoa Kauli ya Kuwabagua Wazanzibari

KWA maneno ya siku hizi ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema ‘amelikoroga na kulinywa mwenyewe’, baada ya jana kutoa kauli ya…

Continue Reading....

People With Albinism: Pillay Urges More Protection After Barbaric Killing in Tanzania

Posted on: May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Albinism, featured
People With Albinism: Pillay Urges More Protection After Barbaric Killing in Tanzania

UN High Commissioner for Human Rights Navi Pillay called Thursday for increased protection for people with albinism, after the barbaric murder of a 40-year-old woman…

Continue Reading....

Mama Salma Kikwete Ataka Watoto Walemavu Wapendwe

Posted on: May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Walemavu Mama Salma

Na Anna Nkinda – Maelezo WAZAZI wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani…

Continue Reading....

Matukio Picha Katika Maandamano Kupinga Utekaji wa Wasichana Nigeria

Posted on: May 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Maandamano Boko Haram
Matukio Picha Katika Maandamano Kupinga Utekaji wa Wasichana Nigeria

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari